Connect with us

Soka

CAF Yatangaza Neema

Shirikisho la Soka barani Afrika “CAF”, rasmi limefungua milango kwa nchi wanachama kutuma maombi ya kuandaa fainali za michuano ya vilabu barani Afrika yaani klabu bingwa Afrika itakayofanyika Mei 25 na Kombe la Shirikisho Afrika itakayofanyika Mei 24 mwaka huu.

CAF imetaja vigezo katika barua yao ambavyo Shirikisho linatakiwa kuambatanisha ikiwa ni mojawapo ya sifa ya Mji kuandaa fainali hizi kubwa ngazi ya Vilabu Afrika ambapo mwisho wa kutuma maombi ni February 20.

Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

More in Soka