Connect with us

Soka

Caf Yasitisha Afcon

Shirikisho la soka barani Afrika (Caf) limesitisha mechi zote za kuwania kufuzu michuano ya mataifa ya Afrika (Afcon) baada ya kusambaa kwa virusi vya ugonjwa wa Corona barani Afrika.

Caf imefikia hatua hiyo baada ya kujiridhisha kuwa ugonjwa huo unaonezwa kwa njia ya hewa umeanza  kusambaa barani Afrika huku tayari nchi kama Misri na Kenya zimeripoti kuwa na maambukizi nchini Mwao.

Kusimamishwa kwa mechi hizo inamaanisha kuwa mechi baina ya Tanzania na Tunisia iliyikuwa ichezwe mjini Tunis imeghairishwa mpaka hapo baadae.

Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

More in Soka