Connect with us

Soka

Bumbuli,Manara Vita Mpya

Uhasama wa kutupiana maneno umeibuka kati ya mkuu wa idara ya habari katika klabu ya Simba sc Haji Manara pamoja na Mkuu wa Kitengo cha habari klabu ya Yanga Hassan Bumbuli kufuatika kitendo cha manara kuweka utani katika picha inayosambaa ikionesha gari la Yanga limeharibika tairi.

Inadaiwa Bumbuli alichukizwa na utani huo kiasi cha kumpiga simu Manara ambapo alimporomeshea maneno makali ambayo yanazunguka katika mitandao kupitia Whatsup.

Licha ya kujitahidi kuwatafuta wawili hao kuongelea suala hilo wamekua wagumu japo Manara amesisitiza ataiweka sauti hiyo katika mtandao wake wa Youtube.

Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

More in Soka