Connect with us

Soka

Bosi Tff Aula Fifa

Mkurugenzi wa Ufundi wa Shirikisho la soka nchini(Tff) Oscar Milambo ameteuliwa na shirikisho la soka Duniani(Fifa) kwenye kamati maalumu kwa ajili ya kutengeneza mitaala na moduli za mafunzo ya kozi zote za CAF kuanzia Diploma D mpaka A.

Milambo amekua mmoja wa maafisa 6 barani Afrika kuteuliwa kushika wadhifa huo adhimu ambapo atapata fursa ya kuliwakilisha Taifa.

Kocha huyo ni mmoja ya makocha wachache wasomi nchini ambapo pia alipata nafasi ya kuifundisha timu ya vijana chini ya miaka 17 katika mashindano ya kombe la mataifa ya Afrika yaliyofanyika nchini mwaka jana.

Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

More in Soka