Connect with us

Soka

Bilioni 4 Kumng’oa Msuva Morroco

Inaelezwa kuwa klabu ya Difaâ El Jadida ya Morocco imekataa ofa ya €1m (zaidi ya Bilioni 2.7 za Kitanzania) kutoka klabu ya Le Havre inayoshiriki ligi Daraja la kwanza Ufaransa kumsajili Winga Saimon Msuva raia wa Tanzania.

-Klabu hiyo inataka kupewa fedha kiasi cha €1.5m (bilioni 4 za Kitanzania) ili kumwachia Msuva ambaye wana mkataba naye wa mwaka mmoja. Pia anawindwa na vilabu vya Trabzonspor, Al-Nassr SC, Al-Ain, Dalian FC na Chongqing FC.

Cc:Viwanjanileo

Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

More in Soka