Connect with us

Soka

Bigirimana-“As Vita Hawanitishi Ngo”

Mshambuliaji mpya wa Yanga sc Issa Bigirimana “walcot” amesisitiza kuwa anawafahamu vizuri timu ya As vita baada ya kukutana nao mara kadhaa akiwa na Apr ya Rwanda hivyo hana wasiwasi siku ya mwananchi atapovaana nao.

Bigirimana mwenye uwezo wa kucheza nafasi zote za ushambuliaji ameonyesha kiwango kizuri katika mazoezi ya timu hiyo yanaendelea mkoani Morogoro katika chuo cha Biblia kilichopo eneo la Bigwa ambapo alifanikiwa pia kufunga goli katika mchezo wa kirafiki dhidi ya timu ya Tanzanite.

Ikumbukwe Klabu hiyo ya Kongo ni moja ya timu ya As vita ngumu kufungika wakiwa wametwaa ubingwa wa ligi ya Kongo mara 14 huku pia wakinolewa na kocha wa timu ya taifa hiyo Frolent Ibenge ambaye alikifikisha kikosi cha timu ya taifa katika hatua ya mtoano.

Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

More in Soka