Connect with us

Soka

Balama,Niyonzima Wamaliza Msimu

Kocha wa klabu ya Yanga sc Luc Eymael amethibitisha kuwa viungo Balama Mapinduzi na Haruna Niyonzima hawatoichezea tena timu hiyo mpaka msimu ujao kutokana na majeraha yanayowakabili.

Awali mastaa hao waliumia wakati wakiitumikia timu hiyo ambapo Balama aliumia mazoezini huku Niyonzima akiumia wakati wa mchezo dhidi ya Biashara United.

Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

More in Soka