Connect with us

Soka

Balama Kuwakosa Alliance

Kiungo fundi wa klabu ya Yanga sc Balama Mapinduzi ataukosa mchezo wa ligi kuu dhidi ya Alliance baada ya kushindwa kupona jeraha la nyonga alilolipata wakati wa mchezo uliopita dhidi ya Jkt Tanzania.

Balama alikosa mazoezi ya mwisho yaliyofanyika leo asubuhi uwanja wa uhuru na ndipo ilipobainika pia ataukosa mchezo huo ili kuangalia ukubwa wa jeraha hilo.

Yanga itasafiri kesho alfajiri kwa ndege kuelekea mkoani Mwanza kucheza mchezo huo siku ya ijumaa dhddi ya Alliance na wakifanikiwa kupata ushindi watakua wamefanikiwa kupunguza pengo la pointi baada ya kuwa na mechi nyingi za viporo.

Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

More in Soka