Connect with us

Soka

Azam Inabeba Kimya Kimya

Klabu ya Azam fc imeendelea na harakati zake za kuboresha kikosi chake kwa kusajili baadhi ya nyota wa ligi kuu nchini kimya kimya.

Inadaiwa tayari klabu hiyo imeshamalizana na beki wa klabu ya Polisi Tanzania Yassin Mustafa kwa kumsainisha mkataba na inasubiri msimu umalizike ili imtangaze hadharani.

Yassin amekua akitajwa kuhitajika Yanga toka usajiri wa dirisha dogo ambapo baada ya kumkosa ililazimika kumsajili Adeyum Salehe.

Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

More in Soka