Connect with us

Soka

Azam Fc Bado Gonjwa Lawatesa

Licha ya kubadilisha daktari bado ugonjwa ule ule kwa klabu ya Azam fc baada ya kulazimishwa suluhu na Gwambina katika uwanja wa Gwambina Complex mjini Misungwi.

Azam fc ambayo ilimtimua kocha wake mkuu Arstica Cioaba na kumleta mzambia George Lwandamina imeonakana bado timu hiyo haina muunganiko baada ya jana kukoswa kufungwa mara kadhaa baada ya kuzidiwa eneo la kati kati ya kiwanja na Gwambina.

sasa rasmi timu hiyo imeachwa alama saba na vinara Yanga sc huku ikiwa imewaacha Simba sc alama nne tu huku ikiwa imewazidi michezo mitatu.

Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

More in Soka