Connect with us

Soka

Angel Gomez Kuondoka Man Utd

Kinda wa klabu ya Manchester United Angel Gomez anatarajiwa kuondoka klabuni hapo baada ya kugoma kuongeza mkataba wa kuitumika klabu hiyo.

Kinda huyo aliyeanza kucheza klabuni hapo tangu akiwa na miaka 16 mkataba wake unatarajiwa kuisha siku ya Jumanne na juhudi za kumuongezea mkataba zimegonga mwamba huku kocha Olle Gunnar Solskjaer akithibitisha kuondoka kwa kinda huyo.

Gomez alimekaa benchi michezo miwili ya ligi kuu huku akianza mara tatu katika michuano ya ulaya na uwepo wa Bruno Fernandez pamoja na Mason Greenwood umeonekana kumnyima nafasi.

Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

More in Soka