Connect with us

Soka

Abarola Aitwa Black Stars

Kocha wa timu ya taifa ya Ghana Kwesi Appiah amemwita mlindamlango wa klabu ya Azam FC ya Tanzania,Razak Abalora kwenye kikosi cha timu yake kwa ajili ya mechi za kufuzu za AFCON mwezi ujao.

Kipa huyo aliyesajiliwa Azam fc misimu miwili iliyopita kuchukua nafasi ya Aishi Manula atakuwa na fursa ya kuichezea Ghana itakapocheza mechi mbili mwezi Ujao dhidi ya Afrika Kusini na Sao Tome na Principe.

Walinda milango wengine waliotwa ni Richard Ofori (Maritzburg FC, South Africa) na Felix Annan (Asante Kotoko, Ghana).

Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

More in Soka