Connect with us

Soka

Kisinda,Lutanga Kutua

Tetesi zinasema wachezaji Eric Rutanga kutoka Rayon Sports ya Rwanda pamoja na Tuisila Kisinda wanatarajiwa kuwasili nchini kuanzia Julai 10 2020 kwa ajili ya kujiunga na Yanga.

Hatua hiyo imekuja baada ya nchi hizo kuwa mbioni kufungua mipaka yao baada ya kuifunga kwa muda mrefu kipindi hiki cha corona.

Hivi karibuni mkurugenzi wa uwekezaji wa Gsm Injinia Hersi Said alisikika akisema klabub hiyo imesajili wachezaji wa kigeni watano na wa ndani wanne hivyo inawezekana mastaa hao wakawa katika idadi hiyo iliyotajwa.

Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

More in Soka