Connect with us

Masumbwi

Mwakinyo Kiwango Juu

Bondia Mtanzania Hassan Mwakinyo amepanda katika orodha ya mabondia wenye uzito wa Super Welter baada ya kushinda pambano lake na Mfilipino Tinampay lililofanyika katika uwanja wa uhuru jijini Dar es salaam.

Katika viwango ambavyo hutolewa na mtandao wa ngumi wa dunia (Boxrec), Mwakinyo amepanda hadi nafasi ya 17 kutoka nafasi ya 19 aliyokuwa awali katika uzani wake wa Super Welter, huku akiendelea kushika nafasi ya kwanza barani Afrika.

Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

More in Masumbwi