Connect with us

Makala

Yanga sc,Azam Fc Wamnyatia Ndala

Klabu za Yanga sc na Azam Fc zote kwa pamoja zimeonyesha nia ya kumsaini kiungo wa klabu ya Plateau United ya Nigeria baada ya kuonyesha kiwango cha kuvutia katika mchezo wa kufuzu hatua ya makundi ya klabu bingwa barani Afrika.

Ndali ni kiungo anayefanya majukumu ya kuzuia na kushambulia huku alifanikiwa kuwazima Jonas Mkude na Mzamiru Yassin katika mchezo huo ulioisha kwa suluhu huku Simba sc ikifuzu kwa matokeo ya 1-0 iliopata katika mchezo wa awali.

“Viongozi wa hizo timu walinitafuta kuulizia mkataba wake nikawajibu nina mkataba na klabu yangu lakini nimewaachia kivuli cha hati ya kusafiria endapo watanihitaji”Alisema kiungo huyo.

Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

More in Makala