Connect with us

Makala

Yanga Dar,Simba Arusha

Wakati Yanga Sc ikiadhimisha siku yao leo Dar-es-salaam uwanja wa Mkapa ,Simba Sc nayo itakuwa jijini Arusha kumenyana na Namungo Fc uwanja wa Sheikh Amri Abeid.

Mchezo huo wa ngao ya jamii kati ya Simba Sc na Namungo Fc ni mchezo maalum wa ufunguzi wa ligi kuu bara msimu wa 2020/2021 unaotarajiwa kuanza Septemba 6 mwaka huu.

Takribani ya mashabiki 12,000 wanategemewa kutazama mchezo huo ikiwa ni idadi pungufu ya namba kamili ya mashabiki ambao uwanja huo unaingiza.

Utaratibu huo umewekwa ikiwa ni kuchukua tahadhari ya Virusi vya Corona ambavyo bado vipo Duniani.

Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

More in Makala