Connect with us

Makala

Xavi Na Ndoto Za Kuinoa Barcelona

Nyota wa zamani wa timu ya Barcelona, Xavi Hernandez amefunguka kuwa kwa sasa ni wakati sahihi kwa yeye kurejea na kuinoa klabu yake ya zamani.

Xavi baada ya kustaafu kama mchezaji  kwa sasa ni kocha ambaye anakinoa kikosi cha Al Sadd nchini Qatar na anafurahia  maisha huko japo kwa sasa anatamani kuona siku moja anarejea katika klabu yake ya Barcelona na kwenda kuifundisha hii ni baada ya kuwa vizuri.

“Nimeshajipima mwenyewe kama kocha tayari kwamba sasa naweza kupambana na ndoto yangu ya kwenda kuifundisha Barcelona naona huenda ikatimia siku moja kutokana na hili ambalo naliamini mimi”alisema Xavi

Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

More in Makala