Connect with us

Makala

Watatu Kutaka Saini Ya Beki Huyu

Wolves, Newcastle na Everton ni miongoni mwa vikosi zinavyowania saini ya beki wa Arsenal Maitland-Niles ambaye anatazamiwa kuondoka Emirates mwishoni mwa Agosti, 2020.

Beki huyo ambaye pia ni mzaliwa wa Uingereza ameitumikia Arsenal katika jumla ya mechi 32 za mapambano yote ya msimu wa 2019-20 na amekuwa sehemu ya kikosi cha kwanza kilichowachapa Chelsea 2-1 kwenye fainali ya Kombe la FA iliyochezewa katka uwanja wa Wembley, Uingereza mnamo Agosti 1, 2020.

Arsenal wanapania kujisuka upya msimu wa 2020/2021 na tayari wamemtia Maitland-Niles mnadani tayari kwa kusajiliwa na klabu yoyote itayoweza kutoa thamani ya pesa itakayowekwa mezani.

Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

More in Makala