Connect with us

Makala

Wachezaji Man Utd Wapewa Siku 7

Klabu ya Manchester United (Red Devil) imewataka nyota wake waliopo nje ya England kurejea haraka  ndani ya siku saba ili kuendelea na majukumu yao kama zamani.

Uamuzi huo umekuja ikiwa ni siku chache baada ya baadhi ya klabu za Premier League kuanza mazoezi ili kujiandaa kwa ligi hiyo iliyosimama tangu Machi, mwaka huu kutokana na uwepo wa maambukizi ya virusi visababishwavyo na Corona.

Baadhi ya nyota wa timu hiyo ambao wapo nje ya England ni Fred (Brazil), Victor Lindelof (Sweden) na Sergio Romero (Argentina) na wengine waliotoka nje ya England wameombwa kutekeleza mamlaka hayo ili kuanza mazoezi ya ligi.

Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

More in Makala