Connect with us

Makala

Waarabu Wainunua Newcastle

Mchakato wa kuiuza klabu ya Newcastle United inayoshiriki ligi kuu ncini Uingereza Epl umekamilika rasmi huku wamiliki wapya wa klabu hiyo wakiwa ni makampuni ya Public Inestment Fund,PCP Capital Partners na RB Sports&Media ambao wameinunua kwa kiasi cha Paundi 300m.

Taarifa iliyotolewa na Premier League ambao ni wasimamizi wa ligi kuu nchini Uingereza imethibitisha kupokea nyaraka rasmi za umiliki mpya wa klabu hiyo huku wamiliki hao wakionyesha kuwa watabadilisha kocha mkuu Steve Bruce japo haijajulikana ni lini mabadiliko hayo yatafanyika.

Klabu hiyo itakua na mchezo wa ligi kuu dhidi ya Tottenham siku ya Octoba 17 mwaka ambayo itakua ni mechi ya kwanza chini ya umiliki mpya baada ya kumilikiwa na Mike Ashley kwa miaka 14.

Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

More in Makala