Connect with us

Makala

Virgil Van Dijik Asifiwa Liverpool.

Virgil Van Dijik ni mchezaji wa soka wa Uholanzi anayeichezea klabu ya ligi kuu ya Uingereza Liverpool F.C

Pia anacheza ndani ya timu ya Taifa ya Uholanzi kama beki wa nyuma, alijiunga na Liverpool mnamo tarehe 1 Januari 2018.

Mchezaji huyo amesifiwa kuwa mchezaji mzuri zaidi katika nafasi yake ya ulinzi katika historia ya ligi kuu Uingereza kwa mujibu wa mchezaji wa zamani wa Arsenal Martin Keown.

Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

More in Makala