Connect with us

Makala

Villa Wanusulika EPL,Samatta Achekelea

Nahodha wa timu ya taifa ya Tanzania(Taifa Stars) Mbwana Samatta, ataendelea kukipiga katika klabu ya Aston Villa msimu ujao wa ligi kuu England baada ya timu yake kunusurika kushuka daraja msimu huu.

Aston Villa imefanikiwa kumaliza nafasi ya 17 katika msimamo wa ligi kuu England msimu wa 2019/2020 ikiwa na pointi 35 baada ya kutoka sare ya bao 1-1 na Westham United.

Kwa sasa  Aston Villa imeanza maandalizi kwa ajili ya msimu mpya wa ligi kuu England inayotarajiwa kuanza Septemba 12 hivyo Samatta anazidi kuwaomba watanzania wazidi kumuombea ili apambane kuitangaza nchi ya Tanzania.

Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

More in Makala