Connect with us

Makala

Ulimwengu Wa Michezo Watikiswa Na Corona

Serikali ya China imeamua kusimamisha kwanza shughuli za michezo mbalimbali nchini humo kutokana na kusambaa kwa kasi kwa virusi vya Corona Duniani.

Kamati ya Olimpiki (ICC) ambayo ilipangwa kufanyika jijini Wuhan,michezo ya Olimpiki Misumbwi na shirika la mpira wa kikapu (CBA) nchini China iliyothibitishiwa kuwa michezo ya ligi kuu ya mpira wa kikapu yote kwa pamoja imehairishwa.

Michezo ambayo haijahairishwa ni ya Olimpiki itakayofanyika jijini Tokyo nchini Japan mwezi Julai mwaka huu kwani ni michezo mikubwa na kamati haipo tayari kuisitisha.

Kiongozi wa kamati ya Olimpiki ,Toshiro Muro alisema”Nataka kusema na narudia tena kusema hakuna mpango wa kuhairisha wala kuvunja michezo ya Olimpiki itakayofanyika Tokyo”.

Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

More in Makala