Connect with us

Makala

Ubaguzi Rangi Wamkosesha Nguvu Zaha

Nyota anayekipiga ndani ya klabu ya Crystal Palace,Wilfried Zaha amesema kuwa amepokea jumbe mbili ambazo zinaeleza kuhusu ubaguzi wa rangi wakati wa kuifuata Aston Villa mchezo wa Ligi Kuu England Leo Julai 12, anakokipiga Mbwana Samatta.

Mshambuliaji huyo amesema kuwa alipokea meseji mbili ambazo zilikuwa zinambagua kutokana na rangi yake jambo lililompotezea furaha.

“Nilipokea meseji mbili ambazo zote zilikuwa zinasema kwamba sitafunga mbele ya Aston Villa kwa kuwa rangi ni nyeusi jambo ambalo sijalipenda na ni mbaya kwangu na dunia,”alisema Zaha.

Uongozi wa Premier league umesema kuwa kwa sasa unafanyia uchunguzi suala hilo na kama litagundulika kuwa ni kweli basi hatua zitachukuliwa.

Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

More in Makala