Connect with us

Makala

Tovuti Ya Simba Sc Yazinduliwa Leo

Uongozi wa klabu ya Simba umezindua rasmi Website yake (Tovuti) kwa ajili ya kutanua wigo mpana wa kutoa taarifa kwa mashabiki wake ndani na nje ya nchi.

Tovuti hiyo imezinduliwa rasmi leo saa saba mchana kama ambavyo walitangaza awali kuwa watakuwa na jambo lao siku ya 23,May.

Mabingwa hao wanashika nafasi ya kwanza kwenye ligi kuu wakiwa na pointi 71 katika mechi ya 28 huku watani wao wa jadi kutoka Jangwani wamepitwa mechi moja wakiwa na pointi 51 katika nafasi ya tatu.

Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

More in Makala