Connect with us

Makala

Simba Waibuka Na Pointi 3 za Coastal Union Leo

Kiungo mkabaji wa Simba Gerson Fraga leo ameiongoza timu yake kwa kuwachapa Coastal Union Mabao 2-0 katika uwanja wa taifa.

Gerson Fraga alianza kufunga bao la kwanza  dakika ya  7 na dakika ya 78 alimalizia bao la pili huku Kagere nae alionesha kufunga bao lakini lilikataliwa baada ya kuonekana ameotea.

Timu zote ndani ya ligi kuu Bara zimecheza jumla ya mechi 18 na ushindi huo unaifanya Simba kufikisha jumla ya pointi 47 kibindoni ikiwa nafasi ya kwanza huku ikibakisha mchezo mmoja kumaliza msimu wa kwanza.

Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

More in Makala