Connect with us

Makala

Simba Waamua Kumsajili Kichuya

Uongozi wa klabu ya Simba Sc umeamua kumrejesha mchezaji wao wa zamani Shazi Kichuya baaada ya kuona Yanga wanamtaka mchezaji huyo.

Winga huyo aliyekuwa akicheza Misri katika soka la kulipwa amesaini mkataba wa miaka miwili katika kikosi alichowahi kukichezea hapo awali Simba Sc.

Haijafahamika hadi hivi sasa kwa nini Simba wameamua kumrejesha mchezaji huyo wa zamani ikiwa ni maswali mengi kwa watanzania wamebaki wakijiuliza au ni kutokana na usajili waliokuwa wakitaka Yanga juu ya mchezaji huyo ila dau ndo lilikuwa haliendani na mda aliokuwa akitaka kuitumikia timu hiyo.

Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

More in Makala