Connect with us

Makala

Simba Maandalizi,Kujinoa Na Wawili Leo

Simba Sc itacheza na mechi mbili za kirafiki ambazo ni KMC na Transit Camp siku ya leo Agosti 26 katika uwanja wa Uhuru kwa ajili ya maandalizi ya mchezo wa Ngao ya Jamii utakaochezwa Agosti 30,katika uwanja wa Sheikh Amri Abeid uliopo Arusha.

Mchuano huo utakuwa kati ya mabingwa hao wa ligi kuu,Simba Sc dhidi ya Namungo Fc ambao walishika nafasi ya pili katika kombe la shirikisho la Azam ambapo walipokea kichapo cha mabao 2-1.

Katika mechi ya leo Simba Sc itakosa huduma ya mshambuliaji wao mpya, Chris Mugalu ambaye ni ingizo jipya kutoka Lusaka Dynamos kwani jana alisepa kuelekea nchini kwao Congo.

Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

More in Makala