Connect with us

Makala

Sheria Yamnusuru Sergio Aguero

Taarifa zinaeleza kuwa Sergio Agüero hatokabiliwa na hatua yoyote ya adhabu kwa kuweka mkono kwenye bega la kushoto la mwamuzi msaidizi Sian Massey-Ellis wakati wa ushindi wa Manchester City dhidi ya Arsenal kwani haija onyesha kuwa ni kitendo cha kumtisha mwamuzi.

Sheria zinasema kuwa kumgusa mwamuzi sio kosa isipokuwa kumfanyia fujo au kumtisha ndio kosa na endapo lingeonekana kuwa ni kosa basi Aguero angeoneshwa kadi ya njano au nyekundu.

Tukio hilo lilitokea dakika ya 42 ya kipindi cha kwanza kwenye uwanja wa Etihad Jumamosi, na Agüero alionekana kutokuwa na furaha na mwamuzi Massey-Ellis kwa kutowapa City kurusha mpira uliotoka na badala yake kufanya kuwapa Arsenal.

Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

More in Makala