Connect with us

Makala

Senzo Atiwa Mbaroni

Taarifa za kuaminika zinadai mshauri mkuu wa klabu ya Yanga sc Senzo Mbatha Mazingisa amewekwa mbaroni katika kituo cha polisi Oysterbay akidaiwa kuihujumu klabu ya Simba sc.

Awali ilidaiwa kwamba mawasiliano baina ya Senzo naaliyekua Mkurugenzi wa wanachama wa klabu ya Simba sc Hashim Mbaga yalinaswa hali iliyopelekea Mbaga kushikiliwa katika kituo cha Oysterbay kwa mahojiano zaidi.

Mpaka sasa bado haijapatikana taarifa rasmi kuhusu kiongozi huyo wa Yanga sc kama bado ameachiwa amaa la.

Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

More in Makala