Connect with us

Makala

Premier League Yatoa Ahadi Liverpool

Uongozi wa Premier League umesema kuwa upo tayari kuwaunga mkono Liverpool kutwaa taji endapo tu hali ya usalama itaruhusu kufanya hivyo katika kipindi hichi cha Covid-19.

Liverpool ipo nafasi ya kwanza katika msimamo wa ligi kuu England ikiwa ina pointi 82 katika michezo 29 aliyocheza huku katika mechi hizo ameshinda mechi 27,sare 1 na alipoteza mchezo 1.

Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

More in Makala