Connect with us

Makala

Pongezi Kwa Madaktari,Luiz

Beki wa kati wa Arsenal ,David Luiz anaamini kuwa Kwenye mapambano ya virusi vya Corona kuna umuhimu wa kuwakumbuka wataalamu wa masuala ya afya kwani wamekuwa wakifanya mambo makubwa na wakati mwingine wakiwa Kwenye hatari wanapambana katika kazi yao kuhakikisha usalama unapatika kwa wagonjwa.

Luiz amesema kuwa watu wa afya wamekuwa wakijitolea kwenye mambo mengi bila kujali matokeo kwao japo ni ugonjwa hatari na uwezekano wa wao kuupata upo mikononi mwao.

“Kitu muhimu ni kuwaombea kwani  wanajihatarisha na hawachoki katika kazi yao, nasi ni lazima kuchukua tahadhari, “alisema Luiz

Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

More in Makala