Connect with us

Makala

Molinga Apata Shavu

Mchezaji wa Kagera Sugar ,Kelvin Sabato amesema kuwa  Mshambuliaji David Molinga anayecheza ndani ya Yanga Sc ni kati ya washambuliaji wenye kiwango kikubwa cha uchezaji licha ya kukosolewa na mashabiki wa mpira.

Kelvin Sabato ameyasema hayo wakati wa kipindi cha #kipenga xtra cha East Africa Radio ,ambapo amesema kuwa endapo Molinga akipewa nafasi atafanya vizuri kwenye kikosi cha Yanga.

“Mimi ni mshambuliaji na huwa ninategemea sana nafasi ninazotengenezewa na watu waliokuwa nyuma yangu ,kwa mimi binafsi Molinga anajua mpira na vitu vingi sana anavyo ila je waliokuwa nyuma yake wanamtengenezea nafasi?alisema Kelvin Sabato.

Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

More in Makala