Connect with us

Makala

MO Dewji Aomba Radhi Simba.

Mwenyekiti wa bodi ya wakurugenzi  Simba Sc Mohammed Dewji ametangaza kurejea kwenye nafasi ya uwenyekiti baada ya jana kutangaza kujiengua kufuatia kipigo cha bao 1-0 walichopigwa Simba kwenye fainali ya Mapinduzi Cup.

Aliomba radhi kutokana na akaunti zake kuibwa na nafasi hiyo kuchukuliwa kuposti maneno yale kupitia akaunti zake zote za mitandao ya kijamii.

Mohammed Dewji alisema “Kilichotokea jana sikukusudia ila tuko pamoja tunarudi kuendelea na ligi na tumejipanga pia nawapongeza Mtibwa Sugar kwa kuchukua kombe mimi ni SIMBA damu damu na nitabaki kuwa SIMBA”.

Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

More in Makala