Connect with us

Makala

Milioni Za Chama Kukabidhiwa Yatima

Mshambuliaji wa Simba ,Clatous Chama leo Agosti 3 amekabidhiwa zawadi ya Shilingi milioni moja na tuzo ya mchezaji bora ndani ya ligi kuu bara na wadhamini wakuu wa klabu ya Simba,  SportPesa ambao waliendesha mchakato mzima wa kusaka tuzo kwa wachezaji wao.

Chama amesema kuwa fedha hizo zote anazitoa kwa ajili ya yatima kwa kuwa wana mahitaji makubwa kuliko yeye ambaye bado anaendelea kupambana.

Kwenye ligi kuu bara, Chama amefunga mabao mawili na kutoa pasi mbili za mabao kati ya 78 ambayo yamefungwa na Simba Sc msimu wa 2019/20.

Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

More in Makala