Connect with us

Makala

Mbao Fc Wapigwa 2-0 Na Ihefa Fc

Play offs ya kwanza ya siku ya leo July 29,imewapa Ihefa ushindi wa mabao 2-0 mbele ya Mbao FC ya Felix Minziro wakiwa uwanja wa ugenini wa Highland Estates.

Bao la kwanza Ihefa Fc lilifungwa dakika ya nne ya kipindi cha kwanza cha mchezo na Steven Mwaijala kwa mkwaju wa penalti.

Mridi Tangai alipachika bao la pili baada ya mapumziko dakika ya 84 ,bao lililodumu hadi mchezo ulipokamilika na kuifanya timu hiyo kuondoka na ushindi wa mabao 2-0.

Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

More in Makala