Connect with us

Makala

Mastaa Barca Wapimwa Corona

Wachezaji wote wa Barcelona wamepimwa na hakuna aliyekutwa na virusi vya Corona ,vipimo vilichukuliwa jana wakati wakiwasili uwanjani kwa ajili ya kuanza mazoezi ya kujiandaa na ligi iliyosimama kutokana na janga la Corona.

Serikali ilisimamisha michezo nchini kote mwezi Machi  ili kupambana na virusi vya Corona vilivyoikumba dunia.

Barca wameanza kujinoa rasmi chini ya usimamizi mkali wa makocha ukizingatia kujikinga zaidi dhidi ya maambukizi ya Corona.

Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

More in Makala