Connect with us

Makala

Manyika Ndani Ya Polisi Tanzania

Klabu ya Polisi Tanzania imeinasa saini ya kipa Manyika Peter Manyika kwa mkataba wa mwaka mmoja kwenye usajili wa dirisha dogo unaotarajiwa kufungwa kesho saa sita usiku.

Manyika amejiunga na Polisi Tanzania akitokea klabu ya KCB inayoshiriki ligi kuu nchini Kenya ikiwa hapo awali aliwahi kucheza Simba Sc na Singida United alipokuwa Tanzania.

Mwenyekiti wa kikosi hicho Malale Hamsini anatarajia matokeo mazuri kwa mlinda mlango huyo katika ligi zinazoendelea nchini.

Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

More in Makala