Connect with us

Makala

Manuel Neuer Kuwindwa Na Chelsea

Mlinda mlango wa Bayern Munich,Manuel Neuer ameingizwa kwenye anga za klabu ya Chelsea inayowinda saini yake ambapo Frank Lampard, Kocha Mkuu wa Chelsea anahitaji kupata mlinda mlango mpya ndani ya kikosi hicho hali  inayotegemea kumuuza  kipa wao Kepa Arrizabalaga.

Mlinda mlango huyo machachari langoni katika kuokoa kikosi cha Chelsea hakuwa chaguo la Lampard kwenye mechi nne zilizopita za Februari ndani ya Ligi Kuu England kwa kusemekana kiwango chake kimeshuka .

 

Neuer mkataba wakeunategemea kumeguka mwaka 2021 ndani ya Bayern Munich ila unampa nafasi ya kufanya mazungumzo na klabu nyingine iwapo inataka kumpa dili jipya.

 

Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

More in Makala