Connect with us

Makala

Man U Yammezea Mate Fati Wa Barca

Manchester United imeingia anga za Barcelona tayari kulipa pauni milioni 153 ili kupata saini ya, Ansu Fati ili ajiunge na kikosi hicho.

Fati ameichezea Barcelona jumla ya mechi 33 kwenye mashindano yote ndani ya msimu uliopita na alitupia jumla ya mabao nane. 

United inahitaji saini ya nyota huyo kwakuwa wanaamini atakuwa na faida kubwa akitua ndani ya kikosi hicho kwani amekuwa akipata malezi akiwa chini ya staa wa Barcelona, Lionel Messi.

Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

More in Makala