Connect with us

Makala

Liverpool wamtungua Tottenham.

Mchezaji wa Liverpool Roobert Firmino amejizolea umaarufu mkubwa baada ya kufunga bao moja lililodumu mpaka dakika 90 za mchezo.

Roobert Firmino alifunga bao hilo dakika ya 37 na kuweka rekodi ya point 16 kwenye mchezo wao wa 21 wa ligi kuu, huu ni mwanzo mzuri kabisa wa ligi za Uingereza.

Jose Morinho alisema”Nina kila sababu ya kusema sijaridhika na matokeo ila alichokifanya kijana huyu ni jitihada za kipekee za kutokata tamaa mapema”

Nafikiri kila meneja angekuwa na Fermino kwenye timu yake ingempa nguvu,kujiamini na kujenga timu bora.”alisema meneja Garry Neville.

Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

More in Makala