Connect with us

Makala

Ligi Kuu Tanzania Bara Kurejea Juni Mosi

Raisi wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli amesema kuwa masuala ya michezo ikiwa ni pamoja na Ligi Kuu Tanzania Bara ni ruksa kuchezwa kuanzia Juni Mosi ikiwa ni pamoja na ligi kuu Bara, daraja la Kwanza,michezo ya majeshi na mambo ya sanaa.

Kuhusu suala la mashabiki uwanjani ameliacha kwa wizara ya afya ili kuhakikisha usalama zaidi kwa wananchi kuzidi kujipa tahadhari juu ya virusi vya Corona.

Masuala yote ya mijumuiko isiyo ya lazima ilisimamishwa Machi 17 kutokana na Janga la virusi vya Corona ambapo kwa sasa Serikali imesema kuwa hali ni shwari nchini na si kama awali.

Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

More in Makala