Connect with us

Makala

Ligi Kurejea Mapema Mwezi Juni

Serikali ya Uingereza imebainisha kuwa matukio yote ya kimichezo nchini humo imeruhusiwa kurejea ifikapo mapema mwezi June, ila pasipo kuwa na watazamaji(mashabaki).

Mashabiki nchini humo wamearifiwa kuwa wataanza kuingia viwanjani endapo tu chanjo ya virusi vya Corona itapatikana .

Wakati huo huo mwenyekiti wa FA, Greg Clarke ameviambia vilabu vya Ligi kuu Uingereza kuwa kushushwa daraja kupo pale pale na msimu lazima umalizike kwa kuchezwa.

Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

More in Makala