Connect with us

Makala

Kocha Barca Hatihati Kubebeshwa Virago

Baryen Munich kutoka Ujerumani imekuwa timu ya kwanza kuifunga Barcelona zaidi ya mabao matano kwenye mchezo mmoja wa ligi ya mabingwa  Barani Ulaya.

Barcelona imekumbana na kipigo cha mabao 8-2 katika mchezo wa robo fainali ya ligi ya mabingwa Ulaya ambapo mabao hayo yamehatarisha kibarua cha kocha wao mkuu,Quique Setien.

Tetesi zinaeleza kuwa Setien amekuwa hana kiwango kizuri ndani ya Barca hata alipopoteza mbele ya Real Madrid waliotwaa ubingwa wa La Laliga mwezi uliopita, hivyo tayari mabosi wa timu hiyo wameshajadili kuhusu mbadala wake kwa kwa msimu ujao.

Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

More in Makala