Connect with us

Makala

Kipa Ac Milan Kuwindwa Na PSG,Chelsea

Mkurugenzi wa michezo katika klabu ya PSG,Leonard anammezea mate kipa wa Ac Milan ,Gianluigi Donnarumma lakini anapata presha kutoka kwa kocha mkuu wa Chelsea ,Frank Lampard ambaye pia anahitaji wino wa kipa huyo.

Japo klabu zote mbili zimeonyesha kuwania saini ya kipa huyo wa Milan pia wamependekeza liwe dili la kubadilishana wachezaji ambapo Leornado anafikiria kumtoa Alphonse Areola huku Lampard anataka kumtoa Kepa Arrizabalaga katika dili lolote.

Donnarumma anafikikiriwa kuuzwa moja kwa moja ,hii inamaanisha Ac Milani wanampango wa kuweka dau kubwa ambalo litawakimbiza Chelsea lakini PSG haitawasumbua kwa sababu wanaamini watapata fedha za kutosha iwapo watamuuza Neymar kurudi Barcelona.

Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

More in Makala