Connect with us

Makala

Kayoko Aandika Historia Ngao Ya Jamii

Ramadhani Kayoko ni miongoni mwa refa atakayechezesha mchezo wa leo wa ngao ya jamii baina ya Simba sc na Namungo Fc uwanja wa Sheikh Amri Abeid jijini Arusha saa 9:00 alasiri.

Licha ya refa huyo kuwa na umri mdogo wa miaka 28 amezidi kuandika historia ya kuwa mwamuzi ambaye amechezesha idadi kubwa ya mechi kubwa ndani ya muda mfupi kuliko wengine.

Kayoko ndani ya kipindi cha siku 60 ameweza kuchezesha michezo minne mikubwa kwenye mashindano tofauti nchini ambayo yote imefanyika mwaka huu.

Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

More in Makala