Connect with us

Makala

Karibu Nyumbani Samatta

Mtanzania Mbwana Samatta ambaye ni mshambuliaji wa Aston Villa ya nchini Uingereza na kinara katika timu ya Taifa (Taifastars) ya Tanzania, anatarajia kutua nchini wiki hii baada ya ligi ya nchini humo kufikia tamati mwishoni mwa wiki iliyopita.
Samatta ambaye timu yake ya Aston Villa imenusurika kushuka daraja msimu huu, imemaliza katika nafasi ya 17 ya msimamo wa Premier League ikiwa na pointi 34.
Villa imeshinda michezo tisa huku ikitoa sare kwenye michezo saba na kupoteza michezo 21 ndani ya premier League.

Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

More in Makala