Connect with us

Makala

James Kotei Kutua Yanga.

Aliyekuwa kiungo fundi wa zamani wa timu ya Simba Sc ambaye kwa sasa anakipiga katika klabu ya Kaizer Chiefs James Kotei anatarajia kutua Yanga kwa mkopo.

Yanga ilikuwa na mpango  wa kumnasa kiungo mkabaji kutoka Zesco Utd Anthony Akum raia wa Kenya kumbe Kaizer Chiefs nao walikuwa na mpango wa kumnasa mchezaji huyo.

Kutokana na ukaribu walionao Yanga na Kaizer wamefanya kubadilishana James Kotei atue Jangwani na Akum aende Kaizer Chief.

Taarifa zaidi zinadai dili hilo linaweza kukamilika kabla ya dirisha la usajili kufungwa siku ya jumatano wiki ijayo.

 

Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

More in Makala