Connect with us

Makala

Itabaki Ndoto Miraji Kumfikia Kagere

Mchezaji wa Simba Sc , Miraji Athumani amejikuta akikata tamaa ya kutimiza ndotoyake ndani ya kikosi hicho baada ya kuwa nje takribani miezi miwili kutokana na majeraha .

Athumani ambaye alikuwa aking’aa chini ya kocha Patrick Aussems ameamua kutupia mpira kwa Meddie Kagere mwenye jumla ya mabao 19 na mwenye juhudi ya kusaka mabao zaidi,ndoto ambayo yeye pia alikuwa akitamani aweze kuitimiza kuwa mfungaji wa mabao mengi.

“Nimeshaanza kufanya mazoezi ya kusaka kuwa fiti ndani ya wiki mbili,ila napiga mahesabu mpaka niwe sawa zitakuwa zimebaki mechi sita halafu tayari kuna wale waliojihakikishianamba ndani ya kikosi cha kwanza,hilo ndilo linaloniumiza kichwa kwa sasa”alisema Miraji

Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

More in Makala