Connect with us

Makala

Ighalo Aipeleka United Robo Fainali FA

Mshambuliaji mpya wa Manchester United Idion Ighalo amepata furaha kubwa baada ya kufunga mabao mawili katika mchezo wa FA dhidi ya Derby County uliomalizika kwa kufunga mabao 3-0.

Katika mchezo huo Ighalo alisema anafuraha kuwa kwenye klabu hiyo na wanafanya kazi nzuri kufikia malengo kwani aliweza kufunga mabao mawili na Luke Shawn alifunga bao moja.

Umoja waliokuwa nao unawapeleka Manchester United Robo Fainali ambapo watakutana na Norwich City katika uwanja wa Carrow japo.

Click to comment

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

More in Makala